Monday, June 3, 2013

Huyu ni nbalozi wa SA akisaini kitabu cha rambirambi kwa Marehemu Mangwea ambao bado haujawasili toka SA, balozi huyo amesema kuwa maswala y6a kiserikali ngio yanayosababisha mwili wa Mangwea tayari kwa mazishi.
hata hivyo watanzania wengi wsamezidi kuwa na wasiwasi kwa kuchelewa kuletwa kwa mwili wa nguli huyo licha balozi wa Tanzania yupo huko kuwakilisha watanzania lakini bado ngumu kwa hilo